Mfalme Tayari ni mpenda hadithi sana. Pia ana binti aitwaye Hafidha ambaye naye kama baba yake, ni mlevi wa hadithi sana. Siku moja anamwambia baba yake kuwa anapenda mwanamume atakayesimulia hadithi isiyo na mwisho ili amuoe. Mfalme anatangazia wanaume kujaribu bahati yao. Je, atapatikana msimulizi wa hadithi isiyo na mwisho na kumuoa binti mfalme?
Hadithi Isiyo Na Mwisho
TSH 9,652

Availability: In stock